Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yuko wapi mfalme wako, ili apate kukuokoa? Wako wapi watawala wako katika miji yako yote ambao ulisema kuwahusu, ‘Nipe mfalme na wakuu’?

Hosea 13:10 in English

Hosea 13:10 · Berean Standard Bible

Where is your king now * to save you in all your cities, and the rulers to whom you said, “Give me a king and princes”?

Context

8Kama dubu aliyenyangʼanywa watoto wake, nitawashambulia na kurarua vifua vyenu. Kama simba nitawala; mnyama pori atawararua vipande vipande. 9“Ee Israeli, umeangamizwa, kwa sababu wewe u kinyume nami, kinyume na msaidizi wako. 10Yuko wapi mfalme wako, ili apate kukuokoa? Wako wapi watawala wako katika miji yako yote ambao ulisema kuwahusu, ‘Nipe mfalme na wakuu’? 11Hivyo katika hasira yangu nilikupa mfalme na katika ghadhabu yangu nilimwondoa. 12Kosa la Efraimu limehifadhiwa, dhambi zake zimewekwa katika kumbukumbu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.