Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alishindana na malaika na kumshinda; alilia na kuomba upendeleo wake. Alimkuta huko Betheli na kuzungumza naye huko:

Hosea 12:4 in English

Hosea 12:4 · Berean Standard Bible

Yes, he struggled with the angel * and prevailed; he wept and sought His favor; he found Him at Bethel and spoke with Him there *—

Context

2Bwana analo shtaka dhidi ya Yuda, atamwadhibu Yakobo kwa kadiri ya njia zake na kumlipa kwa kadiri ya matendo yake. 3Yakobo akiwa tumboni alishika kisigino cha kaka yake; kama mwanadamu, alishindana na Mungu. 4Alishindana na malaika na kumshinda; alilia na kuomba upendeleo wake. Alimkuta huko Betheli na kuzungumza naye huko: 5Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, Bwana ndilo jina lake! 6Lakini ni lazima urudi kwa Mungu wako; dumisha upendo na haki, nawe umngojee Mungu wako siku zote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.