Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini ni lazima urudi kwa Mungu wako; dumisha upendo na haki, nawe umngojee Mungu wako siku zote.

Hosea 12:6 in English

Hosea 12:6 · Berean Standard Bible

But you must return to your God, maintaining love and justice, and always waiting on your God.

Context

4Alishindana na malaika na kumshinda; alilia na kuomba upendeleo wake. Alimkuta huko Betheli na kuzungumza naye huko: 5Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, Bwana ndilo jina lake! 6Lakini ni lazima urudi kwa Mungu wako; dumisha upendo na haki, nawe umngojee Mungu wako siku zote. 7Mfanyabiashara hutumia vipimo vya udanganyifu; hupenda kupunja. 8Efraimu hujisifu akisema, “Mimi ni tajiri sana; nimetajirika. Pamoja na utajiri wangu wote hawatakuta ndani yangu uovu wowote au dhambi.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.