Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, Bwana ndilo jina lake!

Hosea 12:5 in English

Hosea 12:5 · Berean Standard Bible

the LORD is the God of Hosts— the LORD is His name of renown.

Context

3Yakobo akiwa tumboni alishika kisigino cha kaka yake; kama mwanadamu, alishindana na Mungu. 4Alishindana na malaika na kumshinda; alilia na kuomba upendeleo wake. Alimkuta huko Betheli na kuzungumza naye huko: 5Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, Bwana ndilo jina lake! 6Lakini ni lazima urudi kwa Mungu wako; dumisha upendo na haki, nawe umngojee Mungu wako siku zote. 7Mfanyabiashara hutumia vipimo vya udanganyifu; hupenda kupunja.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.