Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mfanyabiashara hutumia vipimo vya udanganyifu; hupenda kupunja.

Hosea 12:7 in English

Hosea 12:7 · Berean Standard Bible

A merchant loves to defraud with dishonest scales in his hands.

Context

5Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, Bwana ndilo jina lake! 6Lakini ni lazima urudi kwa Mungu wako; dumisha upendo na haki, nawe umngojee Mungu wako siku zote. 7Mfanyabiashara hutumia vipimo vya udanganyifu; hupenda kupunja. 8Efraimu hujisifu akisema, “Mimi ni tajiri sana; nimetajirika. Pamoja na utajiri wangu wote hawatakuta ndani yangu uovu wowote au dhambi.” 9“Mimi ndimi Bwana Mungu wenu niliyewaleta kutoka Misri; nitawafanya mkae tena kwenye mahema, kama vile katika siku za sikukuu zenu zilizoamriwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.