Waebrania 2:6
Hebrews 2:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini kuna mahali mtu fulani ameshuhudia akisema: “Mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, binadamu ni nani hata unamjali?
Hebrews 2:6 in English
Hebrews 2:6 · Berean Standard Bible
But somewhere it is testified in these words: “What is man that You are mindful of him, or the son of man that You care for him?
Context
4Pia Mungu aliushuhudia kwa ishara, maajabu na kwa miujiza mbalimbali, na karama za Roho Mtakatifu alizozigawa kulingana na mapenzi yake. 5Mungu hakuuweka ulimwengu ujao ambao tunanena habari zake chini ya malaika. 6Lakini kuna mahali mtu fulani ameshuhudia akisema:
“Mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria,
binadamu ni nani hata unamjali? 7Umemfanya chini kidogo kuliko malaika;
ukamvika taji ya utukufu na heshima, 8nawe umeweka vitu vyote chini ya miguu yake.”
Kwa kuweka vitu vyote chini yake, Mungu hakuacha kitu chochote ambacho hakukiweka chini ya mwanadamu. Lakini kwa sasa, hatuoni kwamba kila kitu kiko chini yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.