Native Bible

Hebrews 2:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Umemfanya chini kidogo kuliko malaika; ukamvika taji ya utukufu na heshima,

Hebrews 2:7 in English

Hebrews 2:7 · Berean Standard Bible

You made him a little lower * than the angels; You crowned him with glory and honor *

Context

5Mungu hakuuweka ulimwengu ujao ambao tunanena habari zake chini ya malaika. 6Lakini kuna mahali mtu fulani ameshuhudia akisema: “Mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, binadamu ni nani hata unamjali? 7Umemfanya chini kidogo kuliko malaika; ukamvika taji ya utukufu na heshima, 8nawe umeweka vitu vyote chini ya miguu yake.” Kwa kuweka vitu vyote chini yake, Mungu hakuacha kitu chochote ambacho hakukiweka chini ya mwanadamu. Lakini kwa sasa, hatuoni kwamba kila kitu kiko chini yake. 9Lakini twamwona Yesu, aliyefanywa chini kidogo kuliko malaika, sasa akiwa amevikwa taji ya utukufu na heshima kwa sababu alistahimili mauti, ili kwamba kwa neema ya Mungu apate kuonja mauti kwa ajili ya kila mtu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.