Waebrania 2:5
Hebrews 2:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mungu hakuuweka ulimwengu ujao ambao tunanena habari zake chini ya malaika.
Hebrews 2:5 in English
Hebrews 2:5 · Berean Standard Bible
For it is not to angels that He has subjected the world to come, about which we are speaking.
Context
3je, sisi tutapaje kupona kama tusipojali wokovu mkuu namna hii? Wokovu huu, ambao mwanzo ulitangazwa na Bwana, ulithibitishwa kwetu na wale waliomsikia. 4Pia Mungu aliushuhudia kwa ishara, maajabu na kwa miujiza mbalimbali, na karama za Roho Mtakatifu alizozigawa kulingana na mapenzi yake. 5Mungu hakuuweka ulimwengu ujao ambao tunanena habari zake chini ya malaika. 6Lakini kuna mahali mtu fulani ameshuhudia akisema:
“Mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria,
binadamu ni nani hata unamjali? 7Umemfanya chini kidogo kuliko malaika;
ukamvika taji ya utukufu na heshima,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.