Native Bible

Hebrews 10:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa bado kitambo kidogo tu, “Yeye ajaye atakuja wala hatakawia.

Hebrews 10:37 in English

Hebrews 10:37 · Berean Standard Bible

For, “In just a little while, He who is coming will come and will not delay.

Context

35Kwa hiyo msiutupe ujasiri wenu, kwa maana una thawabu kubwa mno. 36Inawapasa kuvumilia ili mkiisha kufanya mapenzi ya Mungu mpate kile alichoahidi. 37Kwa kuwa bado kitambo kidogo tu, “Yeye ajaye atakuja wala hatakawia. 38Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye kama akisitasita, sina furaha naye.” 39Lakini sisi hatumo miongoni mwa hao wanaositasita na kuangamia, bali tuko miongoni mwa hao wenye imani na hivyo tunaokolewa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.