Waebrania 10:38
Hebrews 10:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye kama akisitasita, sina furaha naye.”
Hebrews 10:38 in English
Hebrews 10:38 · Berean Standard Bible
But My righteous one will live by faith;* and if he shrinks back, I will take no pleasure in him.”*
Context
36Inawapasa kuvumilia ili mkiisha kufanya mapenzi ya Mungu mpate kile alichoahidi. 37Kwa kuwa bado kitambo kidogo tu,
“Yeye ajaye atakuja wala hatakawia. 38Lakini mwenye haki wangu
ataishi kwa imani.
Naye kama akisitasita,
sina furaha naye.” 39Lakini sisi hatumo miongoni mwa hao wanaositasita na kuangamia, bali tuko miongoni mwa hao wenye imani na hivyo tunaokolewa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.