Native Bible

Hebrews 10:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini sisi hatumo miongoni mwa hao wanaositasita na kuangamia, bali tuko miongoni mwa hao wenye imani na hivyo tunaokolewa.

Hebrews 10:39 in English

Hebrews 10:39 · Berean Standard Bible

But we are not of those who shrink back and are destroyed, but of those who have faith and preserve their souls.

Context

37Kwa kuwa bado kitambo kidogo tu, “Yeye ajaye atakuja wala hatakawia. 38Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye kama akisitasita, sina furaha naye.” 39Lakini sisi hatumo miongoni mwa hao wanaositasita na kuangamia, bali tuko miongoni mwa hao wenye imani na hivyo tunaokolewa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.