Waebrania 10:36
Hebrews 10:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Inawapasa kuvumilia ili mkiisha kufanya mapenzi ya Mungu mpate kile alichoahidi.
Hebrews 10:36 in English
Hebrews 10:36 · Berean Standard Bible
You need to persevere, so that after you have done the will of God, you will receive what He has promised.
Context
34Mliwahurumia wale waliokuwa kifungoni, mkikubali kwa furaha kunyangʼanywa mali zenu kwa maana mlijua kwamba mnayo mali iliyo bora zaidi idumuyo. 35Kwa hiyo msiutupe ujasiri wenu, kwa maana una thawabu kubwa mno. 36Inawapasa kuvumilia ili mkiisha kufanya mapenzi ya Mungu mpate kile alichoahidi. 37Kwa kuwa bado kitambo kidogo tu,
“Yeye ajaye atakuja wala hatakawia. 38Lakini mwenye haki wangu
ataishi kwa imani.
Naye kama akisitasita,
sina furaha naye.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.