Native Bible

Hebrews 10:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo msiutupe ujasiri wenu, kwa maana una thawabu kubwa mno.

Hebrews 10:35 in English

Hebrews 10:35 · Berean Standard Bible

So do not throw away your confidence; it holds a great reward.

Context

33Wakati mwingine mlitukanwa na kuteswa hadharani; wakati mwingine mlikuwa radhi kuungana na wale waliofanyiwa hivyo. 34Mliwahurumia wale waliokuwa kifungoni, mkikubali kwa furaha kunyangʼanywa mali zenu kwa maana mlijua kwamba mnayo mali iliyo bora zaidi idumuyo. 35Kwa hiyo msiutupe ujasiri wenu, kwa maana una thawabu kubwa mno. 36Inawapasa kuvumilia ili mkiisha kufanya mapenzi ya Mungu mpate kile alichoahidi. 37Kwa kuwa bado kitambo kidogo tu, “Yeye ajaye atakuja wala hatakawia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.