Native Bible

Hebrews 10:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati mwingine mlitukanwa na kuteswa hadharani; wakati mwingine mlikuwa radhi kuungana na wale waliofanyiwa hivyo.

Hebrews 10:33 in English

Hebrews 10:33 · Berean Standard Bible

Sometimes you were publicly exposed to ridicule and persecution; at other times you were partners with those who were so treated.

Context

31Ni jambo la kutisha kuanguka mikononi mwa Mungu aliye hai. 32Kumbukeni siku zile za kwanza, ambazo mkiisha kutiwa nuru mlistahimili mashindano makali ya maumivu. 33Wakati mwingine mlitukanwa na kuteswa hadharani; wakati mwingine mlikuwa radhi kuungana na wale waliofanyiwa hivyo. 34Mliwahurumia wale waliokuwa kifungoni, mkikubali kwa furaha kunyangʼanywa mali zenu kwa maana mlijua kwamba mnayo mali iliyo bora zaidi idumuyo. 35Kwa hiyo msiutupe ujasiri wenu, kwa maana una thawabu kubwa mno.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.