Waebrania 10:31
Hebrews 10:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ni jambo la kutisha kuanguka mikononi mwa Mungu aliye hai.
Hebrews 10:31 in English
Hebrews 10:31 · Berean Standard Bible
It is a fearful thing to fall into the hands of the living God.
Context
29Je, mnadhani ni adhabu kali kiasi gani anayostahili kupewa mtu aliyemkanyaga Mwana wa Mungu chini ya nyayo zake, yeye aliyeifanya damu ya Agano iliyomtakasa kuwa kitu najisi na kumtendea maovu Roho wa neema? 30Kwa kuwa tunamjua yeye aliyesema, “Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza.” Tena asema, “Bwana atawahukumu watu wake.” 31Ni jambo la kutisha kuanguka mikononi mwa Mungu aliye hai. 32Kumbukeni siku zile za kwanza, ambazo mkiisha kutiwa nuru mlistahimili mashindano makali ya maumivu. 33Wakati mwingine mlitukanwa na kuteswa hadharani; wakati mwingine mlikuwa radhi kuungana na wale waliofanyiwa hivyo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.