Native Bible

Genesis 49:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Naftali ni kulungu jike aliyeachiwa huru azaaye watoto wazuri.

Genesis 49:21 in English

Genesis 49:21 · Berean Standard Bible

Naphtali is a doe set free that bears beautiful fawns.*

Context

19“Gadi atashambuliwa ghafula na kundi la washambuliaji, lakini yeye atawageukia na kuwashinda kabisa. 20“Chakula cha Asheri kitakuwa kinono, naye atatoa chakula kitamu kimfaacho mfalme. 21“Naftali ni kulungu jike aliyeachiwa huru azaaye watoto wazuri. 22“Yosefu ni mzabibu uzaao, mzabibu uzaao ulio kando ya chemchemi, ambao matawi yake hutanda ukutani. 23Kwa uchungu wapiga mshale walimshambulia, wakampiga mshale kwa ukatili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.