Native Bible

Genesis 49:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Yosefu ni mzabibu uzaao, mzabibu uzaao ulio kando ya chemchemi, ambao matawi yake hutanda ukutani.

Genesis 49:22 in English

Genesis 49:22 · Berean Standard Bible

Joseph is a fruitful vine— a fruitful vine by a spring, whose branches scale the wall.*

Context

20“Chakula cha Asheri kitakuwa kinono, naye atatoa chakula kitamu kimfaacho mfalme. 21“Naftali ni kulungu jike aliyeachiwa huru azaaye watoto wazuri. 22“Yosefu ni mzabibu uzaao, mzabibu uzaao ulio kando ya chemchemi, ambao matawi yake hutanda ukutani. 23Kwa uchungu wapiga mshale walimshambulia, wakampiga mshale kwa ukatili. 24Lakini upinde wake ulibaki imara, mikono yake ikatiwa nguvu, na mkono wa Mwenye Nguvu wa Yakobo, kwa sababu ya Mchungaji, Mwamba wa Israeli,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.