Mwanzo 49:20
Genesis 49:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Chakula cha Asheri kitakuwa kinono, naye atatoa chakula kitamu kimfaacho mfalme.
Genesis 49:20 in English
Genesis 49:20 · Berean Standard Bible
Asher’s food will be rich; he shall provide royal delicacies.
Context
18“Ee Bwana, nautafuta wokovu wako. 19“Gadi atashambuliwa ghafula na kundi la washambuliaji,
lakini yeye atawageukia na kuwashinda kabisa. 20“Chakula cha Asheri kitakuwa kinono,
naye atatoa chakula kitamu kimfaacho mfalme. 21“Naftali ni kulungu jike aliyeachiwa huru
azaaye watoto wazuri. 22“Yosefu ni mzabibu uzaao,
mzabibu uzaao ulio kando ya chemchemi,
ambao matawi yake hutanda ukutani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.