Native Bible

Genesis 49:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Gadi atashambuliwa ghafula na kundi la washambuliaji, lakini yeye atawageukia na kuwashinda kabisa.

Genesis 49:19 in English

Genesis 49:19 · Berean Standard Bible

Gad * will be attacked by raiders, but he will attack their heels.

Context

17Dani atakuwa nyoka kando ya barabara, nyoka mwenye sumu kando ya njia, yule aumaye visigino vya farasi ili yule ampandaye aanguke chali. 18“Ee Bwana, nautafuta wokovu wako. 19“Gadi atashambuliwa ghafula na kundi la washambuliaji, lakini yeye atawageukia na kuwashinda kabisa. 20“Chakula cha Asheri kitakuwa kinono, naye atatoa chakula kitamu kimfaacho mfalme. 21“Naftali ni kulungu jike aliyeachiwa huru azaaye watoto wazuri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.