Mwanzo 49:17
Genesis 49:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Dani atakuwa nyoka kando ya barabara, nyoka mwenye sumu kando ya njia, yule aumaye visigino vya farasi ili yule ampandaye aanguke chali.
Genesis 49:17 in English
Genesis 49:17 · Berean Standard Bible
He will be a snake by the road, a viper in the path that bites the horse’s heels so that its rider tumbles backward.
Context
15Aonapo palivyo pazuri mahali pake pa kupumzika
na jinsi nchi yake inavyopendeza,
atainamisha bega lake kwenye mzigo
na kujitolea kwa ajili ya kazi ngumu. 16“Dani atahukumu watu wake kwa haki
kama mmoja wa makabila ya Israeli. 17Dani atakuwa nyoka kando ya barabara,
nyoka mwenye sumu kando ya njia,
yule aumaye visigino vya farasi
ili yule ampandaye aanguke chali. 18“Ee Bwana, nautafuta wokovu wako. 19“Gadi atashambuliwa ghafula na kundi la washambuliaji,
lakini yeye atawageukia na kuwashinda kabisa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.