Native Bible

Genesis 49:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Dani atahukumu watu wake kwa haki kama mmoja wa makabila ya Israeli.

Genesis 49:16 in English

Genesis 49:16 · Berean Standard Bible

Dan shall provide justice for his people * as one of the tribes of Israel.

Context

14“Isakari ni punda mwenye nguvu ambaye amelala kati ya mizigo yake. 15Aonapo palivyo pazuri mahali pake pa kupumzika na jinsi nchi yake inavyopendeza, atainamisha bega lake kwenye mzigo na kujitolea kwa ajili ya kazi ngumu. 16“Dani atahukumu watu wake kwa haki kama mmoja wa makabila ya Israeli. 17Dani atakuwa nyoka kando ya barabara, nyoka mwenye sumu kando ya njia, yule aumaye visigino vya farasi ili yule ampandaye aanguke chali. 18“Ee Bwana, nautafuta wokovu wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.