Mwanzo 49:14
Genesis 49:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Isakari ni punda mwenye nguvu ambaye amelala kati ya mizigo yake.
Genesis 49:14 in English
Genesis 49:14 · Berean Standard Bible
Issachar is a strong donkey, lying down between the sheepfolds.*
Context
12Macho yake yatakuwa mekundu kwa divai,
meno yake yatakuwa meupe kwa maziwa. 13“Zabuloni ataishi pwani ya bahari
na kuwa bandari za kuegesha meli;
mpaka wake utapanuka kuelekea Sidoni. 14“Isakari ni punda mwenye nguvu
ambaye amelala kati ya mizigo yake. 15Aonapo palivyo pazuri mahali pake pa kupumzika
na jinsi nchi yake inavyopendeza,
atainamisha bega lake kwenye mzigo
na kujitolea kwa ajili ya kazi ngumu. 16“Dani atahukumu watu wake kwa haki
kama mmoja wa makabila ya Israeli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.