Native Bible

Genesis 49:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Zabuloni ataishi pwani ya bahari na kuwa bandari za kuegesha meli; mpaka wake utapanuka kuelekea Sidoni.

Genesis 49:13 in English

Genesis 49:13 · Berean Standard Bible

Zebulun shall dwell by the seashore and become a harbor for ships; his border shall extend to Sidon.

Context

11Atamfunga punda wake katika mzabibu, naye mwana-punda wake kwenye tawi lililo bora zaidi; atafua mavazi yake katika divai, majoho yake katika damu ya mizabibu. 12Macho yake yatakuwa mekundu kwa divai, meno yake yatakuwa meupe kwa maziwa. 13“Zabuloni ataishi pwani ya bahari na kuwa bandari za kuegesha meli; mpaka wake utapanuka kuelekea Sidoni. 14“Isakari ni punda mwenye nguvu ambaye amelala kati ya mizigo yake. 15Aonapo palivyo pazuri mahali pake pa kupumzika na jinsi nchi yake inavyopendeza, atainamisha bega lake kwenye mzigo na kujitolea kwa ajili ya kazi ngumu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.