Mwanzo 35:13
Genesis 35:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha Mungu akapanda juu kutoka kwake mahali pale alipozungumza naye.
Genesis 35:13 in English
Genesis 35:13 · Berean Standard Bible
Then God went up from the place where He had spoken with him.
Context
11Mungu akamwambia, “Mimi ndimi Mungu Mwenyezi,* ukazae na kuongezeka. Taifa na jamii ya mataifa itatoka kwako, nao wafalme watatoka viunoni mwako. 12Nchi niliyowapa Abrahamu na Isaki nakupa wewe pia, nami nitawapa wazao wako baada yako.” 13Kisha Mungu akapanda juu kutoka kwake mahali pale alipozungumza naye. 14Yakobo akasimamisha nguzo ya jiwe mahali pale Mungu alipozungumza naye, akamimina sadaka ya kinywaji juu yake, pia akamimina mafuta juu yake. 15Yakobo akapaita mahali pale Mungu alipozungumza naye Betheli.*
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.