Native Bible

Genesis 35:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yakobo akapaita mahali pale Mungu alipozungumza naye Betheli.*

Genesis 35:15 in English

Genesis 35:15 · Berean Standard Bible

Jacob called the place where God had spoken with him Bethel.*

Context

13Kisha Mungu akapanda juu kutoka kwake mahali pale alipozungumza naye. 14Yakobo akasimamisha nguzo ya jiwe mahali pale Mungu alipozungumza naye, akamimina sadaka ya kinywaji juu yake, pia akamimina mafuta juu yake. 15Yakobo akapaita mahali pale Mungu alipozungumza naye Betheli.* 16Kisha wakaondoka Betheli. Walipokuwa umbali fulani kabla ya kufika Efrathi, Raheli akaanza kusikia uchungu na alipata shida kuu. 17Alipokuwa katika shida hii katika kujifungua, mkunga akamwambia, “Usiogope, kwa sababu umempata mwana mwingine.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.