Mwanzo 32:28
Genesis 32:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo yule mtu akasema, “Jina lako halitakuwa tena Yakobo, bali Israeli,* kwa sababu umeshindana na Mungu na watu pia, nawe umeshinda.”
Genesis 32:28 in English
Genesis 32:28 · Berean Standard Bible
Then the man said, “Your name will no longer be Jacob,* but Israel,* because you have struggled with God and with men, and you have prevailed.”
Context
26Ndipo yule mtu akasema, “Niache niende, kwa kuwa ni mapambazuko.”
Lakini Yakobo akajibu, “Sitakuacha uende usiponibariki.” 27Yule mtu akamuuliza, “Jina lako nani?”
Akajibu, “Yakobo.” 28Ndipo yule mtu akasema, “Jina lako halitakuwa tena Yakobo, bali Israeli,* kwa sababu umeshindana na Mungu na watu pia, nawe umeshinda.” 29Yakobo akasema, “Tafadhali niambie jina lako.”
Lakini akajibu, “Kwa nini kuniuliza Jina langu?” Ndipo akambariki huko. 30Kwa hiyo Yakobo akapaita mahali pale Penieli,* akasema, “Ni kwa sababu nimemwona Mungu uso kwa uso na bado maisha yangu yameokoka.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.