Native Bible

Genesis 32:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yakobo akasema, “Tafadhali niambie jina lako.” Lakini akajibu, “Kwa nini kuniuliza Jina langu?” Ndipo akambariki huko.

Genesis 32:29 in English

Genesis 32:29 · Berean Standard Bible

And Jacob requested, “Please tell me your name.” But he replied, “Why do you ask my name?” Then he blessed Jacob there.

Context

27Yule mtu akamuuliza, “Jina lako nani?” Akajibu, “Yakobo.” 28Ndipo yule mtu akasema, “Jina lako halitakuwa tena Yakobo, bali Israeli,* kwa sababu umeshindana na Mungu na watu pia, nawe umeshinda.” 29Yakobo akasema, “Tafadhali niambie jina lako.” Lakini akajibu, “Kwa nini kuniuliza Jina langu?” Ndipo akambariki huko. 30Kwa hiyo Yakobo akapaita mahali pale Penieli,* akasema, “Ni kwa sababu nimemwona Mungu uso kwa uso na bado maisha yangu yameokoka.” 31Jua lilikuwa linachomoza Yakobo alipoondoka Penueli, naye alikuwa akichechemea kwa sababu ya nyonga yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.