Mwanzo 31:47
Genesis 31:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Labani akaliita Yegar-Sahadutha* na Yakobo akaliita Galeedi.*
Genesis 31:47 in English
Genesis 31:47 · Berean Standard Bible
Laban called it Jegar-sahadutha, and Jacob called it Galeed.*
Context
45Hivyo Yakobo akachukua jiwe, akalisimamisha kama nguzo. 46Akawaambia jamaa yake, “Kusanyeni mawe.” Hivyo wakachukua mawe na kuyakusanya yakawa lundo, wakala chakula hapo karibu na hilo lundo. 47Labani akaliita Yegar-Sahadutha* na Yakobo akaliita Galeedi.* 48Labani akasema, “Lundo hili ni shahidi kati yako na mimi leo.” Ndiyo maana likaitwa Galeedi. 49Pia liliitwa Mispa,* kwa sababu alisema, “Bwana na aweke ulinzi kati yako na mimi wakati kila mmoja akiwa mbali na mwingine.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.