Native Bible

Genesis 31:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akawaambia jamaa yake, “Kusanyeni mawe.” Hivyo wakachukua mawe na kuyakusanya yakawa lundo, wakala chakula hapo karibu na hilo lundo.

Genesis 31:46 in English

Genesis 31:46 · Berean Standard Bible

and he said to his relatives, “Gather some stones.” So they took stones and made a mound, and there by the mound they ate.

Context

44Njoo sasa na tufanye agano, wewe na mimi, na liwe kama shahidi kati yetu.” 45Hivyo Yakobo akachukua jiwe, akalisimamisha kama nguzo. 46Akawaambia jamaa yake, “Kusanyeni mawe.” Hivyo wakachukua mawe na kuyakusanya yakawa lundo, wakala chakula hapo karibu na hilo lundo. 47Labani akaliita Yegar-Sahadutha* na Yakobo akaliita Galeedi.* 48Labani akasema, “Lundo hili ni shahidi kati yako na mimi leo.” Ndiyo maana likaitwa Galeedi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.