Native Bible

Genesis 31:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivyo Yakobo akachukua jiwe, akalisimamisha kama nguzo.

Genesis 31:45 in English

Genesis 31:45 · Berean Standard Bible

So Jacob picked out a stone and set it up as a pillar,

Context

43Labani akamjibu Yakobo, “Wanawake hawa ni binti zangu, watoto hawa ni watoto wangu na makundi haya ni makundi yangu. Vyote unavyoviona ni vyangu. Lakini hata hivyo ninaweza kufanya nini kuhusu hawa binti zangu, au kuhusu watoto waliowazaa? 44Njoo sasa na tufanye agano, wewe na mimi, na liwe kama shahidi kati yetu.” 45Hivyo Yakobo akachukua jiwe, akalisimamisha kama nguzo. 46Akawaambia jamaa yake, “Kusanyeni mawe.” Hivyo wakachukua mawe na kuyakusanya yakawa lundo, wakala chakula hapo karibu na hilo lundo. 47Labani akaliita Yegar-Sahadutha* na Yakobo akaliita Galeedi.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.