Mwanzo 31:49
Genesis 31:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pia liliitwa Mispa,* kwa sababu alisema, “Bwana na aweke ulinzi kati yako na mimi wakati kila mmoja akiwa mbali na mwingine.
Genesis 31:49 in English
Genesis 31:49 · Berean Standard Bible
It was also called Mizpah,* because Laban said, “May the LORD keep watch between you and me when we are absent from each other.
Context
47Labani akaliita Yegar-Sahadutha* na Yakobo akaliita Galeedi.* 48Labani akasema, “Lundo hili ni shahidi kati yako na mimi leo.” Ndiyo maana likaitwa Galeedi. 49Pia liliitwa Mispa,* kwa sababu alisema, “Bwana na aweke ulinzi kati yako na mimi wakati kila mmoja akiwa mbali na mwingine. 50Kama ukiwatenda mabaya binti zangu au ukioa wake wengine zaidi ya binti zangu, hata ingawa hakuna hata mmoja aliye pamoja nasi, kumbuka kwamba Mungu ni shahidi kati yako na mimi.” 51Pia Labani akamwambia Yakobo, “Hili ndilo lundo, na hii ndiyo nguzo niliyoisimamisha kati yako na mimi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.