Native Bible

Genesis 26:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha wakachimba kisima kingine, lakini hata hicho pia wakakigombania, akakiita Sitna.*

Genesis 26:21 in English

Genesis 26:21 · Berean Standard Bible

Then they dug another well and quarreled over that one also; so he named it Sitnah.*

Context

19Watumishi wa Isaki wakachimba katika lile bonde wakagundua huko kisima chenye maji safi. 20Lakini wachungaji wa Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaki wakisema, “Maji haya ni yetu!” Ndipo akakiita kile kisima Eseki,* kwa sababu waligombana naye. 21Kisha wakachimba kisima kingine, lakini hata hicho pia wakakigombania, akakiita Sitna.* 22Akaondoka huko, akachimba kisima kingine, wala hakuna yeyote aliyekigombania. Akakiita Rehobothi,* akisema, “Sasa Bwana ametufanyia nafasi, nasi tutastawi katika nchi.” 23Kutoka pale akaenda Beer-Sheba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.