Mwanzo 23:3
Genesis 23:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Abrahamu akainuka kutoka pale penye maiti ya mke wake. Akazungumza na Wahiti, akasema,
Genesis 23:3 in English
Genesis 23:3 · Berean Standard Bible
Then Abraham got up from beside his dead wife and said to the Hittites,*
Context
1Sara aliishi akawa na umri wa miaka mia na ishirini na saba. 2Sara akafa huko Kiriath-Arba (yaani Hebroni) katika nchi ya Kanaani, Abrahamu akamwombolezea na kumlilia Sara. 3Ndipo Abrahamu akainuka kutoka pale penye maiti ya mke wake. Akazungumza na Wahiti, akasema, 4“Mimi ni mpitaji na mgeni miongoni mwenu. Niuzieni sehemu ya ardhi yenu ili niweze kumzika maiti wangu.” 5Wahiti wakamjibu Abrahamu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.