Native Bible

Genesis 23:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sara aliishi akawa na umri wa miaka mia na ishirini na saba.

Genesis 23:1 in English

Genesis 23:1 · Berean Standard Bible

Now Sarah lived to be 127 years old.

Context

1Sara aliishi akawa na umri wa miaka mia na ishirini na saba. 2Sara akafa huko Kiriath-Arba (yaani Hebroni) katika nchi ya Kanaani, Abrahamu akamwombolezea na kumlilia Sara. 3Ndipo Abrahamu akainuka kutoka pale penye maiti ya mke wake. Akazungumza na Wahiti, akasema,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.