Native Bible

Genesis 23:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wahiti wakamjibu Abrahamu,

Genesis 23:5 in English

Genesis 23:5 · Berean Standard Bible

The Hittites replied to Abraham,

Context

3Ndipo Abrahamu akainuka kutoka pale penye maiti ya mke wake. Akazungumza na Wahiti, akasema, 4“Mimi ni mpitaji na mgeni miongoni mwenu. Niuzieni sehemu ya ardhi yenu ili niweze kumzika maiti wangu.” 5Wahiti wakamjibu Abrahamu, 6“Bwana, tusikilize. Wewe ni mtawala mkuu sana miongoni mwetu. Zika maiti wako katika kaburi unalolipenda kati ya makaburi yetu. Hakuna mtu wa kwetu atakayekuzuia kaburi lake ili kuzika maiti wako.” 7Abrahamu akainuka na akasujudu mbele ya wenyeji wa nchi, yaani Wahiti.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.