Mwanzo 23:7
Genesis 23:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Abrahamu akainuka na akasujudu mbele ya wenyeji wa nchi, yaani Wahiti.
Genesis 23:7 in English
Genesis 23:7 · Berean Standard Bible
Then Abraham rose and bowed down before the people of the land, the Hittites.
Context
5Wahiti wakamjibu Abrahamu, 6“Bwana, tusikilize. Wewe ni mtawala mkuu sana miongoni mwetu. Zika maiti wako katika kaburi unalolipenda kati ya makaburi yetu. Hakuna mtu wa kwetu atakayekuzuia kaburi lake ili kuzika maiti wako.” 7Abrahamu akainuka na akasujudu mbele ya wenyeji wa nchi, yaani Wahiti. 8Akawaambia, “Kama mnaniruhusu kumzika maiti wangu, basi nisikilizeni mkamsihi Efroni mwana wa Sohari kwa niaba yangu 9ili aniuzie pango la Makpela, lililo mali yake, nalo liko mwisho wa shamba lake. Mwambieni aniuzie kwa bei kamili atakayosema ili liwe mahali pangu pa kuzikia miongoni mwenu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.