Native Bible

Genesis 21:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Abrahamu alikuwa na miaka 100 wakati Isaki mwanawe alipozaliwa.

Genesis 21:5 in English

Genesis 21:5 · Berean Standard Bible

Abraham was a hundred years old when his son Isaac was born to him.

Context

3Abrahamu akamwita Isaki yule mwana ambaye Sara alimzalia. 4Isaki alipokuwa na umri wa siku nane, Abrahamu akamtahiri, kama Mungu alivyomwamuru. 5Abrahamu alikuwa na miaka 100 wakati Isaki mwanawe alipozaliwa. 6Sara akasema, “Mungu ameniletea kicheko, kila mmoja atakayesikia jambo hili atacheka pamoja nami.” 7Akaongeza kusema, “Nani angemwambia Abrahamu kuwa Sara angenyonyesha watoto? Tena nimemzalia mwana katika uzee wake.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.