Mwanzo 21:3
Genesis 21:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Abrahamu akamwita Isaki yule mwana ambaye Sara alimzalia.
Genesis 21:3 in English
Genesis 21:3 · Berean Standard Bible
And Abraham gave the name Isaac * to the son Sarah bore to him.
Context
1Wakati huu Bwana akamrehemu Sara kama alivyokuwa amesema, naye Bwana akamtendea Sara kile alichokuwa ameahidi. 2Sara akapata mimba, akamzalia Abrahamu mwana katika uzee wake, majira yale ya Mungu aliomwahidi. 3Abrahamu akamwita Isaki yule mwana ambaye Sara alimzalia. 4Isaki alipokuwa na umri wa siku nane, Abrahamu akamtahiri, kama Mungu alivyomwamuru. 5Abrahamu alikuwa na miaka 100 wakati Isaki mwanawe alipozaliwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.