Native Bible

Genesis 21:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati huu Bwana akamrehemu Sara kama alivyokuwa amesema, naye Bwana akamtendea Sara kile alichokuwa ameahidi.

Genesis 21:1 in English

Genesis 21:1 · Berean Standard Bible

Now the LORD attended to Sarah as He had said, and the LORD did for Sarah what He had promised.

Context

1Wakati huu Bwana akamrehemu Sara kama alivyokuwa amesema, naye Bwana akamtendea Sara kile alichokuwa ameahidi. 2Sara akapata mimba, akamzalia Abrahamu mwana katika uzee wake, majira yale ya Mungu aliomwahidi. 3Abrahamu akamwita Isaki yule mwana ambaye Sara alimzalia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.