Native Bible

Genesis 21:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sara akapata mimba, akamzalia Abrahamu mwana katika uzee wake, majira yale ya Mungu aliomwahidi.

Genesis 21:2 in English

Genesis 21:2 · Berean Standard Bible

So Sarah conceived and bore a son to Abraham in his old age, at the very time God had promised.

Context

1Wakati huu Bwana akamrehemu Sara kama alivyokuwa amesema, naye Bwana akamtendea Sara kile alichokuwa ameahidi. 2Sara akapata mimba, akamzalia Abrahamu mwana katika uzee wake, majira yale ya Mungu aliomwahidi. 3Abrahamu akamwita Isaki yule mwana ambaye Sara alimzalia. 4Isaki alipokuwa na umri wa siku nane, Abrahamu akamtahiri, kama Mungu alivyomwamuru.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.