Mwanzo 21:6
Genesis 21:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sara akasema, “Mungu ameniletea kicheko, kila mmoja atakayesikia jambo hili atacheka pamoja nami.”
Genesis 21:6 in English
Genesis 21:6 · Berean Standard Bible
Then Sarah said, “God has made me laugh, and everyone who hears of this will laugh with me.”
Context
4Isaki alipokuwa na umri wa siku nane, Abrahamu akamtahiri, kama Mungu alivyomwamuru. 5Abrahamu alikuwa na miaka 100 wakati Isaki mwanawe alipozaliwa. 6Sara akasema, “Mungu ameniletea kicheko, kila mmoja atakayesikia jambo hili atacheka pamoja nami.” 7Akaongeza kusema, “Nani angemwambia Abrahamu kuwa Sara angenyonyesha watoto? Tena nimemzalia mwana katika uzee wake.” 8Mtoto akakua, akaachishwa kunyonya. Siku hiyo Isaki alipoachishwa kunyonya, Abrahamu alifanya sherehe kubwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.