Mwanzo 21:7
Genesis 21:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akaongeza kusema, “Nani angemwambia Abrahamu kuwa Sara angenyonyesha watoto? Tena nimemzalia mwana katika uzee wake.”
Genesis 21:7 in English
Genesis 21:7 · Berean Standard Bible
She added, “Who would have told Abraham that Sarah would nurse children? Yet I have borne him a son in his old age.”
Context
5Abrahamu alikuwa na miaka 100 wakati Isaki mwanawe alipozaliwa. 6Sara akasema, “Mungu ameniletea kicheko, kila mmoja atakayesikia jambo hili atacheka pamoja nami.” 7Akaongeza kusema, “Nani angemwambia Abrahamu kuwa Sara angenyonyesha watoto? Tena nimemzalia mwana katika uzee wake.” 8Mtoto akakua, akaachishwa kunyonya. Siku hiyo Isaki alipoachishwa kunyonya, Abrahamu alifanya sherehe kubwa. 9Lakini Sara aliona kuwa mwana ambaye Hagari, Mmisri, aliyemzalia Abrahamu alikuwa anadhihaki,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.