Mwanzo 17:4
Genesis 17:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kwa upande wangu, hili ndilo Agano langu na wewe: Wewe utakuwa baba wa mataifa mengi.
Genesis 17:4 in English
Genesis 17:4 · Berean Standard Bible
“As for Me, this is My covenant with you: You will be the father of many nations.
Context
2Nami nitafanya Agano langu kati yangu na wewe, nami nitakuzidisha sana sana.” 3Abramu akaanguka kifudifudi, naye Mungu akamwambia, 4“Kwa upande wangu, hili ndilo Agano langu na wewe: Wewe utakuwa baba wa mataifa mengi. 5Jina lako hutaitwa tena Abramu, bali jina lako litakuwa Abrahamu,* kwa maana nimekufanya wewe baba wa mataifa mengi. 6Nitakufanya uwe na uzao mwingi sana, kwako yatatoka mataifa nao wafalme watatoka kwako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.