Native Bible

Genesis 17:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Abramu akaanguka kifudifudi, naye Mungu akamwambia,

Genesis 17:3 in English

Genesis 17:3 · Berean Standard Bible

Then Abram fell facedown, and God said to him,

Context

1Abramu alipokuwa na miaka tisini na tisa, Bwana akamtokea akamwambia, “Mimi ndimi Mungu Mwenyezi;* enenda mbele zangu na uishi kwa unyofu. 2Nami nitafanya Agano langu kati yangu na wewe, nami nitakuzidisha sana sana.” 3Abramu akaanguka kifudifudi, naye Mungu akamwambia, 4“Kwa upande wangu, hili ndilo Agano langu na wewe: Wewe utakuwa baba wa mataifa mengi. 5Jina lako hutaitwa tena Abramu, bali jina lako litakuwa Abrahamu,* kwa maana nimekufanya wewe baba wa mataifa mengi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.