Native Bible

Genesis 17:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Abramu alipokuwa na miaka tisini na tisa, Bwana akamtokea akamwambia, “Mimi ndimi Mungu Mwenyezi;* enenda mbele zangu na uishi kwa unyofu.

Genesis 17:1 in English

Genesis 17:1 · Berean Standard Bible

When Abram was ninety-nine years old, the LORD appeared to him and said, “I am God Almighty.* Walk before Me and be blameless.

Context

1Abramu alipokuwa na miaka tisini na tisa, Bwana akamtokea akamwambia, “Mimi ndimi Mungu Mwenyezi;* enenda mbele zangu na uishi kwa unyofu. 2Nami nitafanya Agano langu kati yangu na wewe, nami nitakuzidisha sana sana.” 3Abramu akaanguka kifudifudi, naye Mungu akamwambia,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.