Native Bible

Genesis 17:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nami nitafanya Agano langu kati yangu na wewe, nami nitakuzidisha sana sana.”

Genesis 17:2 in English

Genesis 17:2 · Berean Standard Bible

I will establish My covenant between Me and you, and I will multiply you exceedingly.”

Context

1Abramu alipokuwa na miaka tisini na tisa, Bwana akamtokea akamwambia, “Mimi ndimi Mungu Mwenyezi;* enenda mbele zangu na uishi kwa unyofu. 2Nami nitafanya Agano langu kati yangu na wewe, nami nitakuzidisha sana sana.” 3Abramu akaanguka kifudifudi, naye Mungu akamwambia, 4“Kwa upande wangu, hili ndilo Agano langu na wewe: Wewe utakuwa baba wa mataifa mengi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.