Native Bible

Genesis 17:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jina lako hutaitwa tena Abramu, bali jina lako litakuwa Abrahamu,* kwa maana nimekufanya wewe baba wa mataifa mengi.

Genesis 17:5 in English

Genesis 17:5 · Berean Standard Bible

No longer will you be called Abram,* but your name will be Abraham,* for I have made you a father of many nations.*

Context

3Abramu akaanguka kifudifudi, naye Mungu akamwambia, 4“Kwa upande wangu, hili ndilo Agano langu na wewe: Wewe utakuwa baba wa mataifa mengi. 5Jina lako hutaitwa tena Abramu, bali jina lako litakuwa Abrahamu,* kwa maana nimekufanya wewe baba wa mataifa mengi. 6Nitakufanya uwe na uzao mwingi sana, kwako yatatoka mataifa nao wafalme watatoka kwako. 7Nitalithibitisha Agano langu kama Agano la milele kati yangu na wewe na wazao wako baada yako na vizazi vijavyo niwe Mungu wako na Mungu wa wazao wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.