Mwanzo 11:26
Genesis 11:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tera alipokuwa na miaka sabini, akamzaa Abramu, Nahori na Harani.
Genesis 11:26 in English
Genesis 11:26 · Berean Standard Bible
When Terah was 70 years old, he became the father of Abram, Nahor, and Haran.
Context
24Nahori alipokuwa na miaka ishirini na tisa, akamzaa Tera. 25Baada ya Nahori kumzaa Tera, aliishi miaka 119, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 26Tera alipokuwa na miaka sabini, akamzaa Abramu, Nahori na Harani. 27Hawa ndio wazao wa Tera.
Tera aliwazaa Abramu, Nahori na Harani. Harani akamzaa Loti. 28Tera alipokuwa bado hai, Harani akafa huko Uru ya Wakaldayo, nchi alimozaliwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.