Native Bible

Genesis 11:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya Nahori kumzaa Tera, aliishi miaka 119, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.

Genesis 11:25 in English

Genesis 11:25 · Berean Standard Bible

And after he had become the father of Terah, Nahor lived 119 years and had other sons and daughters.

Context

23Baada ya Serugi kumzaa Nahori, aliishi miaka 200, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 24Nahori alipokuwa na miaka ishirini na tisa, akamzaa Tera. 25Baada ya Nahori kumzaa Tera, aliishi miaka 119, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 26Tera alipokuwa na miaka sabini, akamzaa Abramu, Nahori na Harani. 27Hawa ndio wazao wa Tera. Tera aliwazaa Abramu, Nahori na Harani. Harani akamzaa Loti.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.