Mwanzo 11:27
Genesis 11:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hawa ndio wazao wa Tera. Tera aliwazaa Abramu, Nahori na Harani. Harani akamzaa Loti.
Genesis 11:27 in English
Genesis 11:27 · Berean Standard Bible
This is the account of Terah. Terah became the father of Abram, Nahor, and Haran. And Haran became the father of Lot.
Context
25Baada ya Nahori kumzaa Tera, aliishi miaka 119, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike. 26Tera alipokuwa na miaka sabini, akamzaa Abramu, Nahori na Harani. 27Hawa ndio wazao wa Tera.
Tera aliwazaa Abramu, Nahori na Harani. Harani akamzaa Loti. 28Tera alipokuwa bado hai, Harani akafa huko Uru ya Wakaldayo, nchi alimozaliwa. 29Abramu na Nahori walioa. Mke wa Abramu aliitwa Sarai, na mke wa Nahori aliitwa Milka; Milka na Iska walikuwa watoto wa Harani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.